Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Alikuwa akikaa kwenye kiti cha kuzunguka lazima akizungushe zungushe ili mradi mbwembwe tu🤣🤣🤣Itakuwa ni Misanya Bingi huyo - mzee wa O.
Aliishia kuwa Mhadhiri wa UDSM kitengo cha Sociology. Ameshafariki.
Tena ukute lile li ungo likubwa jeusi limewekwa juu ya kenopi ya nyumba hapo ujue hao ni wa kishua
Aisee hiki kipindi kilikuwaga jmosi sio 😀
Hii tamthilia ilikuwa mwisho wa yote,sidhani kama kuna tamthilia ilivutia maelfu ya watu kupita hii ya wakenya kina Dama, Mponda,Mjuba, Jesca Brown,Lindi,Sugu chokoraa,Kibibi,Siti na wengine.Ilikuwa bora mtu akose kula kuliko ku miss Tausi
Sangoma kalumanzilakarumanzira
Kitaani tamthilia ya Tausi ilitungiwa hadi songi tuliimba sana enzi hizo nimeusahau unavyoanza🤣Hii tamthilia ilikuwa mwisho wa yote,sidhani kama kuna tamthilia ilivutia maelfu ya watu kupita hii ya wakenya kina Dama, Mponda,Mjuba, Jesca Brown,Lindi,Sugu chokoraa,Kibibi,Siti na wengine.Ilikuwa bora mtu akose kula kuliko ku miss Tausi
Sahv ungo zimetapakaa za kila rangidishi la nyavu lilikuwa unaogopwa.
kuna rafiki yangu kwao walikuwa na madishi matano. akija shule anatueleza mambo kibao kipindi hiko no internet 1993View attachment 2477772
Sawa vizuri alizijua sana katuni yule jamaayupo NMB kwao ni makongo juu.
Hicho siyo hikoMwenye ungo kipindi hiko anaogopeka. Sisi tuliokulia mitaa ya Sinza inayoanzia kijiweni kwenda mpaka mlimani na Mikocheni tulikuwa tunawaona watu matajiri sana.
Yupi huyo ni Shyrose Bhanji au yule mwenye mwanya mzuri alikuwa naitwa Neema kama sikosei?
Kati ya dtv,ctn na itv ipi ilikua ya mwanzo?,nauliza tu nijue kwasababu miaka iyo Kariakoo tulikua kuna cable.
Tumain Meshack sijui aliendaga wapiYupi huyo ni Shyrose Bhanji au yule mwenye mwanya mzuri alikuwa naitwa Neema kama sikosei?
asante sana mkuu.CTN ilikuwa ya kwanza 1993
Mzee nami niliishi kurasini na kusoma pale pia.. Shimo la udongo kulikuwa na babu yangu.Nakumbuka enzi hizo nimemaliza la saba, tunaishi kurasini shimo la udongo. Mshua alikuwa tra alinunua hitach flani hivi mtaa mzima tv ilikuwepo kwetu tu. Na ilikuwa unailipia kila mwaka sijui kama ilivo bunduki.
Hiki kipindi kilifanya nijue mambo mengi kuhusu Africa
Tulikuwa tunamuita lino lenzi 😂ITV series
View attachment 2477747