Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuepo Sunday shomari na sister du mmoja akiitwa Monica Mfumia nadhani wapo StatesKuna yule brazamen alikuwa anatangaza kipindi cha hiphop,ana photoshop yupo na kina snoop na P diddy afu kakaaa pembeni jamaaa alikuwa na swagaaaaa yuleeeee.
Shyrose Bhanjia alikuwa TBC kama sikoseiYupi huyo ni Shyrose Bhanji au yule mwenye mwanya mzuri alikuwa naitwa Neema kama sikosei?
Uzi mzuri...Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Sunday yupo States... Monica yupo UKAlikuepo Sunday shomari na sister du mmoja akiitwa Monica Mfumia nadhani wapo States
TBC ilikuja baadae Sana ikiitwa TVTShyrose Bhanjia alikuwa TBC kama sikosei
Sun set Beach
Nafikiri kila mkoa waliwekewa li-itv likubwa uwanjani tulikua tunaenda kuangalia tausi 😂😂😂Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Mkuu kulikuwa na kibinti fulani kilikuwa shombe ITV kilikiwa sijui kinamalizia mimi ni sharifa tatadoo wa ITV hata sijui kama nimepatia jina, unakikumbuka.Shyrose Bhanjia alikuwa TBC kama sikosei
Days of our lives nadhani ilioneshwa na CTNHivi ile tamthilia ya days tuliokuwa tunaambiwa watoto tukalale unaikumbuka
Daaah unanikumbusha those days ninakula ugali wa baba na mama sikua na stress za sijui kodi, sijui bili za maji umeme,kabisa kucheki hizo comedy familiy matters, bill cosby, robocop, na nyingine nyingi, baada ya hapo naingia bed kulala huku nikila ngoma tamu kwenye redio mzee alinipa either ni flash backs, bongo fleva, R&B toka Redio free Africa huku kwa nje kuna Kamvua Mvua mwanana kananisindikiza usingizi wangu!
Na ITV walikua wanaonesha nadhani kama sikosei ilikua baada ya taarifa ya habariDays of our lives nadhani ilioneshwa na CTN