GE2025 ITV Kipindi cha 'Aibu yako hata wewe' hamuyaoni malori yakibeba wananchi kama mizigo kwenye kampeni za CCM?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo.

Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika kusoma wananchi kama mizigo tena isitoshe kuna maeneo zilitokea na ajali na kusababisha madhara kwa watu, kwanini huku hamkemei?

Mnafurahia kuona usalama wa raia kuwa rehani kisa tu maslahi ya hao CCM? Msiishie tu kunyooshea vidole daladala, bodaboda, sijui bajaji, nyoosheni na hao wanaosomba wananchi kwenye malori.

Ukiangalia ITV kila baada ya dakika 3 tangazo la uchaguzi wa ccm ina wekwa picha ya mama.
 
ITV mna hiki kipindi kinaitwa "AIBU YAKO HATA WEWE" ambacho mmekuwa mkikitumia kukemea ukiukwaji wa taratibu na sheria za barabarani unaofanywa na madereva wa vyombo mbalimbali vya usafari kutoka na hatari ya usalama wa watu na vyombo hivyo.

Kwenye kampeni za CCM tumeona malori yakitumika kusoma wananchi kama mizigo tena isitoshe kuna maeneo zilitokea na ajali na kusababisha madhara kwa watu, kwanini huku hamkemei?

Mnafurahia kuona usalama wa raia kuwa rehani kisa tu maslahi ya hao CCM? Msiishie tu kunyooshea vidole daladala, bodaboda, sijui bajaji, nyoosheni na hao wanaosomba wananchi kwenye malori.

Kile kipindi kipo kwa ushirikiano na jeshi la polisi😂😂😂😂
 
Watafungiwa wakirusha malori hayo yakipakia wananchi kama mizigo. Polisi nao hawasimamishi na kukamata malori hayo kwani watapoteza ajira kwa kukwamiza kampeni za chama kinachounda serikali iliyowaajiri
 
Back
Top Bottom