ITV kumkaribisha Dkt. Marcus Albanie wa CHADEMA katika kipindi cha Kipima Joto ni jambo la kupongezwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.

Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa makada waliokosa teuzi pekee ili wauze nyago.

Hongereni ITV na hasa Isack Mpayo na Julieth Robert.

Ramadhan Kareem!
 
P
 
Umefufuka bro? Dikteta kaondoka, alikusababishia ukabadili upepo, ukaanza kusifu na kuabudu nawewe
 
Una nia njema sana na nchi yako.
 
Kaka Marcus is real brain asset
 
Mfu angekuwa angekuwepo hata kuwaza kumharika wasingewaza.
 
Umefufuka bro? Dikteta kaondoka, alikusababishia ukabadili upepo, ukaanza kusifu na kuabudu nawewe
Kati ya watu walioshusha hadhi yao ya kuaminika tena Tanzania ni huyu Mayala. Tatizo la huyu ni kwamba anapendaga kuaminika kila upande na hata ukisikiliza hoja zake, hawezi kuonyesha kwa ujasiri kuwa upande fulani una makosa kwa asilimia mia moja. Huyu naamini hata marehemu ndiyo maana alishindwa kumwaamini
 
Kipindi cha Jiwe ulikengeuka mkuu ukahamia upande wa kusifu na kuabudu, nisiwe mnafiki bro ulijishushia hadhi sana humu jamvini. Sidhani kama unaweza kuaminika tena na kurudia vile viwango vyako. Pascal Mayalla = Covid - 19(wale binadamu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…