Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Huyu Albanie ndio anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema kuondoa vituko vilivyopo
Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.
Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa makada waliokosa teuzi pekee ili wauze nyago.
Hongereni ITV na hasa Isack Mpayo na Julieth Robert.
Ramadhan Kareem!