Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.
Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa makada waliokosa teuzi pekee ili wauze nyago.
Hongereni ITV na hasa Isack Mpayo na Julieth Robert.
Ramadhan Kareem!
Ni Erick Ngambeki.Mungu aliyafanya hadi mmojammoja aanze kubadilika.
Kuna MATAGA mmoja alisema "safari hii....hiiiiii....ni sindano tu, pyuuuuu."
Sasa anaimba neno umoja wa kitaifa!!!!!!!
Kulipwa posho nusu mpaka utanena kwa lughaJana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.
Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa makada waliokosa teuzi pekee ili wauze nyago.
Hongereni ITV na hasa Isack Mpayo na Julieth Robert.
Ramadhan Kareem!
Sasahivi naona akili zimeanza kurudi penyewePHongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!
Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa ITV kuwa ndio the first mainstream TV Station kumhoji Tundu Lissu. Huu ni mwanzo mzuri, TV nyingine zifuate. Pia nampongeza Mhe. Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu, ametumia lugha za staha, amemwaga sera. Kati ya freedom zote, freedom ambayo ni absolute...www.jamiiforums.com
Kwakweli ITV wamejitahidi sana kufanya kazi kwa weledi katika mazingira magumu na hatarishi katika kipindi cha awamu ya 5, hata coverage yao ya kampeni za uchaguzi walijitahidi sana "kutuibiaibia" huku na kule! Big up sana mama wa nguvu Joyce Mhavile na timu yako yote ya Super Brand Africa!Jana ITV walimualika kamanda wa Chadema Dr Marcus Albanie kwenye kipindi cha Kipima Joto kilichohudhuriwa pia nu CAG mstaafu CPA Uttoh.
Kwa kipindi kirefu makamanda wa Chadema hawajaonekana katika vipindi vya Malumbano ya Hoja na Kipima Jotto kama tulivyozoea na badala yake wamekuwa wakialikwa makada waliokosa teuzi pekee ili wauze nyago.
Hongereni ITV na hasa Isack Mpayo na Julieth Robert.
Ramadhan Kareem!
P ile ahadi ya U-DC iliota mbawa?PHongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!