Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Ni mazoea?
N kupatiwa?
Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!
Ni mazoea maana hiyo sio mara ya kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mazoea?
N kupatiwa?
Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!
Tena jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya kwao ya saa mbili usiku, baadae kusoma kwenye mkanda inaonekana tunaomboleza kwa siku 14 wakati tulitangaziwa maombolezo ni siku 21 na mheshimiwa Raisi Samia siku anaapiswa kuwa Raisi!Moyo wangu umeruka mapigo saba ya moyo baada ya itv leo asubuhi kuweka kipini cha "mubashara" kwa tukio la zamani la JPM kuweka jiwe la msingi la ujenzi w uwanja ndege mkoani Mtwara!
Ni mazoea?
N kupatiwa?
Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!