ITV Kuweka kipini cha "MUBASHARA" kwa tukio la nyuma la JPM hamwoni kama mnazua taharuki kwa umma?

ITV Kuweka kipini cha "MUBASHARA" kwa tukio la nyuma la JPM hamwoni kama mnazua taharuki kwa umma?

Moyo wangu umeruka mapigo saba ya moyo baada ya itv leo asubuhi kuweka kipini cha "mubashara" kwa tukio la zamani la JPM kuweka jiwe la msingi la ujenzi w uwanja ndege mkoani Mtwara!

Ni mazoea?
N kupatiwa?

Ebu Ongezeni umakini katika kazi yenu!
Tena jana nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya kwao ya saa mbili usiku, baadae kusoma kwenye mkanda inaonekana tunaomboleza kwa siku 14 wakati tulitangaziwa maombolezo ni siku 21 na mheshimiwa Raisi Samia siku anaapiswa kuwa Raisi!
 
Back
Top Bottom