naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.
Kuna vituo CHADEMA haikuweka mawakala. Nilijua tu that was a huge mistake
UNATETEA UJINGA..................... Absence ya mawakala siyo sababu ya kuchakachua................. At least, this year, YOU HAVE SEEN PEOPLES' POWER.............Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.
Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.
Hapo unawasifia au unawaponda....??
Kwa pesa zipi walizonazo CHADEMA, kuweka mawakala nchi nzima? Sisiemu wana pesa nyingi za ruzuku na ufisadi kiasi kwamba wana uwezo wa kuweka mawakala kila kijiji cha nchi hii.
Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.