Elections 2010 ITV Live: CCM wapiga kura 9 mtu mmoja - Maswa Mashariki

Elections 2010 ITV Live: CCM wapiga kura 9 mtu mmoja - Maswa Mashariki

naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.

Hiyo ndo ilikuwa kauli mbiu ya ccm, mafiga matatu, ha ha ha haaaaaaaaaaaa!
 
Kutoka Tanga...ITV

Kata za Mzingani na Majengo...CCM inaongoza, inafuatia CHADEMA na CUF..

Nadhani kuna mchezo mchafu kwa sababu wanadai eti Geography ni mbaya ndo maana yamechelewa.

Halafu eti yale maeneo ambayo bado CUF inaongoza...Ila wasimamizi hawataki kuleta matokeo.
 
Kuna vituo CHADEMA haikuweka mawakala. Nilijua tu that was a huge mistake

Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.
 
UNATETEA UJINGA..................... Absence ya mawakala siyo sababu ya kuchakachua................. At least, this year, YOU HAVE SEEN PEOPLES' POWER.............
 
Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.

Kwa pesa zipi walizonazo CHADEMA, kuweka mawakala nchi nzima? Sisiemu wana pesa nyingi za ruzuku na ufisadi kiasi kwamba wana uwezo wa kuweka mawakala kila kijiji cha nchi hii.
 
Kikwete ulisema kuwa wizi wa kura hauwezekani, na hili unasemaje? Sisi tunajua kuwa wizi upo na wawezeshaji wa wizi huo ni NEC yenyewe kwa maagizo yz CCM.KIKWETE HATA KAMA NEC IKIKUTANGAZA KUWA UMESHINDA UJUWE KABISA KUWA WEWE UTAKUWA NI RAIS FEKI NA KAMWE HUTAHESHIMIKA NA WATANZANIA NA HATA JUMUIA YA KIMATAIFA KWANI UMEIBA KURA. SHAME ON YOU
 
Kwa pesa zipi walizonazo CHADEMA, kuweka mawakala nchi nzima? Sisiemu wana pesa nyingi za ruzuku na ufisadi kiasi kwamba wana uwezo wa kuweka mawakala kila kijiji cha nchi hii.
Hapo unawasifia au unawaponda....??
 
Chadema haikuweka mawakala kwasababu ya ufisjadi wao,fedha zote walizochangiwa zimeishia mfukoni mwa wachache(slaa, mbowe). Hawa watu bado hawajawa na ujari wa maslahi ya chama/taifa. Bado tuna safari ndefu to change.

Acha uwongo wako. Kamwe huwezi kuwadanganya watanzania kwa wakati wote. Mwaka huu wananchi wamekataa kudanganywa.
 
Hii ni safi maana inapingana kabisa na kauli ya mgombea urais wao JK ambaye alisema mfumo wa sasa hivi ni vigumu sana kuchakachua kura
 
Cha msingi idadi ya waliopiga kura iendane na idadi ya jumla ya matokeo yote, kura zikizidi wapiga kura uchaguzi urudiwe baada ya kwenda mahakamani. Hivi hii ndio sababu kubwa ya kutohoji matokeo ya Urais mahakamani (Ibara ya 41[7] ya katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania)?
 
Back
Top Bottom