naangali itv mwandishi anaripoti polisi maswa mashariki wanamshikilia mtu mmoja aliyekutwa kapiga kura tatu za uraisi,3 ubunge,3udiwani ambazo amekamatwa nazo. Baada ya kuhojiwa amesema walifundishwa kuwapa ishara ya vidole vitatu wasimamiz ili wapewe fomu tatu tatu. Alizobambwa nazo zimetikiwa mgombea wa ccm. Itv wanaidiscuss hii ishu. Kazi tunayo.
Hiyo ndo ilikuwa kauli mbiu ya ccm, mafiga matatu, ha ha ha haaaaaaaaaaaa!