ITV Munatakiwa mutuombe msamaha watazamaji

Al Jazira ilikuwa ni chambo ili muangalie wengi alafu waweke Kamari[wewe unaita bahati nasibu]
 
sasa kama televisheni zenu zimekosa creativity zinabebwa na matangazo ya kubeti unategemea watakuwa na kitu kipya na cha maana? SHAME media za kibongo zooote kazi yao moja tu kumsifia mama, utaskia leo kaleta mvua, leo kapunguza vifo vya panzi sijui wanawake sijui takataka gani, yaani ni kimbembe.
 
ITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.
Kwenye biashara haitakiwi kufanya kwa kubweteka au kwa Mazoea akija mshindani mpya Anabeba wateja wote .
Ukiona wazungu ni mamilionea na mabilionea ujue wanaheshimu na kudhamini sana kazi / biashara yao .
 
Tafuta ela uunge kufurushi. Over
 
why uangalie chaneli hiyo kupitia ITV wakati inapatikana moja kwa moja? Hujalipia kifurushi?
 
ITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.
Clouds wangekuwa na vipindi vya watu wazima lakini ubora ule ule wangeshawapiku ITV kitambi sana.

Shida wamejikita kwa vijana....
 
Decoder ninayo , kifurushi leo sijalipia
siruhusiwi kutangazia biashara kampuni ya king'amuzi ningekuambia ni king'amuzi cha kampuni ipi inakopatikana aljazeera kwa bei nafuu
 
Studio za ipp zimechoka sana.. pvc zimeisha mpaka zinakandikwa stickers na makapeti ya getho yale .. angalieni eatv habari na friday night live mpaka unaona kero kuangalia studio zimechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…