muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Supwa Brandino.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al Jazira ilikuwa ni chambo ili muangalie wengi alafu waweke Kamari[wewe unaita bahati nasibu]Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !
hapo sasa, they dont care.Mzee anzisha televishen Yako ujiunge na Al Jazeera TU.
Wenzio wanatafuta maoko umefanyika uwekezaji mkubwa hapo
Habari yako DaktariNina azam
ITV ilikuwa zamani sana kabla ya 2016
Kila mtu akianzisha tv wateja watapatikana wapi?Mzee anzisha televishen Yako ujiunge na Al Jazeera TU.
Wenzio wanatafuta maoko umefanyika uwekezaji mkubwa hapo
Kwenye biashara haitakiwi kufanya kwa kubweteka au kwa Mazoea akija mshindani mpya Anabeba wateja wote .ITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.
Tafuta ela uunge kufurushi. OverLeo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !
Kwa Nini wasipatikane wateja wapo wewe leta content nzuri uone .mfano kina alikiba wanaanzisha na wanapata watejaKila mtu akianzisha tv wateja watapatikana wapi?
why uangalie chaneli hiyo kupitia ITV wakati inapatikana moja kwa moja? Hujalipia kifurushi?Leo ITV imeonyesha tendo la ajabu sana ndiyo sababu watu wengine tunaamua kuangalia tv za nje tu.
Haiwezekani tv ambayo imasema kuwa ni super brand afrika mashariki ifanye mambo kwa kukurupuka bila ratiba .
Nilikuwa naangalia Al jazera tv kupitia itv gafla saa 6.15 wanakatiza matangazo na Kurusha matangazo ya mshindi wa Bahati nasibu, kwanini wasisubiri kipindi cha Habari za dunia Al jazera tv kiishe warushe hio Habari ya bahati nasibu ?
Sawa bahati nasibu inawaangizia ela lakini haikuwa breaking news wangetafuta muda mungine Hata baada ya Habari Al jazera wakarusha matangazo yao.
Jaribuni kuendesha vipindi vyenu kwa ratiba !
huo mchezo wa supa umekimbiza watazamaji wengi, bora waondoe upuuzi huoToka ITV waanzishe stori za mchezo supa kwenye taarifa ya habari, nimehamia UTV rasmi
Clouds wangekuwa na vipindi vya watu wazima lakini ubora ule ule wangeshawapiku ITV kitambi sana.ITV, pamoja na hilo kosa walofanya, wanakubalika mara 100 ukilinganisha na TV nyingine kama.vile TBC na Channel 10.
Decoder ninayo , kifurushi leo sijalipiawhy uangalie chaneli hiyo kupitia ITV wakati inapatikana moja kwa moja? Hujalipia kifurushi?
siruhusiwi kutangazia biashara kampuni ya king'amuzi ningekuambia ni king'amuzi cha kampuni ipi inakopatikana aljazeera kwa bei nafuuDecoder ninayo , kifurushi leo sijalipia