Gaganiga
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 168
- 376
Hivi inakuaje TV ambao wakristo na waislamu wanaingalia kutwa kupiga nyimbo za injili hii sahihi kweli? Yaani kila siku Saa kumi na mbili asubuhi ITV na startv wao nyimbo za injili tu huuu si ubaguzi huu jameni?
Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi wapige salamu Maria na waseme bwana yesu asifiwe hii si haki hata kidogo.
Mjitathimini watu watawapiga chini kwa huu uzwazwa wenu.