Zanzibar siyo nchi, na hata kama ingekuwa nchi siyo nchi ya KIISLAMU.
ZANZIBAR ni mkoa tu wa TANZANIA. Iliachwa kuwa nchi ili isipoteze IDENTITY yake, mara tu itakapotokea mtu mwingine asiyeithamini ZANZIBAR akiwa RAIS wa TANZANIA angeondoa uwakilishi maalum wa ZANZIBAR.
ZANZIBAR ni mkoa wenye waislamu wengi, Kuwa na waislamu wengi haina maana kuwa ni nchi ya KIISLAMU. ZANZIBAR lazima iendane na Jamhuri ya muungano wa TANZANIA (secular state). Isipojengwa kwa msingi huo basi hakuna muungano ( Ikumbukwe, muungano upo kwa mujibu wa documents zilizopo( na siyo kwa kufuata hisia za watu fulani)). Ndio maana uamusho waliwekwa ndani( Kwasababu, documents zipo na siyo suala la hisia).