ITV na Star TV acheni udini

Naunga mkono hoja
 
Zanzibar ni inchi , tena ya kiislamu

Demu anaonesha kabisa hataki kuishi na wewe Lakini umo tu unalazimisha, sasa akipigwa inje utamlaumu nanai?
 
Acha unafiki na roho mbaya mleta mada hivi super brand ina upendeleo gani labda unawashwa ma chuki zako binafsi.

Mbona husemi ijumaa wakionyesha mawaidha msikitini au unaminyoo imekuzidi mpka inakutekenya nn maeneo nyeti.

Alafu hata wakiwa wadini kama unaona inakukera ving'amuzi vina chaneli zaidi ya 200 umekosa nyingine ya kutazama

Onyesha ushahidi kwamba wanalazimishwa kusema salamu maria na kama unaona wivu kuwa ww maria uzae ukiwa na bikra tukupe salamu.

Fakeni afrikans huna kazi ya kufanya unaleta shutuma za udini kwa dini gani nzuri ulio nayo kuvaa makobasi na majoho kama misukule
 
Lakini wazanzibar hawa itizami hii channel kama ilivyo kwa TBC watanzania hawaitizami

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Niseme tu una heri unayepata mda wa kuzitazama hizo TV ..... binafsi nlisha Acha kuzifuatilia hizo runinga tangu 2010 .... sikuhizi nawasha kingamuzi changu cha DSTV nangalia vipindi vingine vya michezo
 
Azam.tv kusema.tu kheri xmasi hawataki wana iruka wanasema.kheri ya mwaka mpyaa 😀😀😀😀
 
Angalia Azam tv mkurugenzi! Kule hutojutia. ZBC2, Imaan tv, nk. Ni full mawaidha.
Ww ulipo kuwa unaitolea povu Azam tv kisa salamu za kirsimas upendotv ,ITV na STarTV zilikuwa zimefungwa?
 
Mbona ZBC 2 kutwa mawaidha

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta Station nyingine
 
Mzanzibar mkiristu ni jaji agustino ramadhani tu
 
Hivi unaanzaje kulalamika kua mwanaume mwenzio anatumia dudu lake sana? Na ww Tafuta TV station yako urushe unavopenda. Utafikiri wakati ITV inaanzishwa ulichangia hata mia
 
Ww ulipo kuwa unaitolea povu Azam tv kisa salamu za kirsimas upendotv ,ITV na STarTV zilikuwa zimefungwa?
Kwani na nyinyi si ndiyo mlikuwa mnatujibu majibu ya aina hii hii!!
Au baada ya kulalamika, waliamza kurusha hizo salamu za Christmas?
 
Na EATV asubuhiblazimabukutane na gospel za morning Glory [emoji559][emoji560]

Lakini si bora hata hao kuliko wale wa kwenye ile channel ya nje walikuwa wanaonesha x
 
Yaan umekosa kabisa channel za kuangalia had uangalie startv ? Angalau ITV kdogo nlikua naangalia habari japo nayo pia siku hizi imeshapitwa na wakat binafsi nimeshaanza kuisahau taarifa ya habari ni UTV
 
Kama unakereka fungus tv yako upige qaswida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…