ITV na Star TV acheni udini

Kitu ambacho sio mali ya UMA hupaswi kukilalamikia mkuu,ww ukiona sio Mrengo wako unajikataa tu unatune station nyingine
Kuna wenzio wanailalamikia Azam ikionyesha mpira katika uwanja wa Dodoma wanaonyesha na msikiti uliokaribu na uwanja aonao unaawambiaje?
 
Nani kakulazimisha kuangalia. Kwanini usiangalie qaswida kwenye channel za waislamu? Pilipili usisozila zakuwashia nini? Si bure we ni mchawi.
Sasa kama Mayajua hayo kwanini kila siku mnamlalamikia Azam kisa tu kwenye mpira anawa zoom watu waliovaa hijab na baraghashia?
 
Tafuta tv ya dini yako kwanini una lazimisha wefanye kama unavo taka, hao watu ni wadini sana japo wanasema wenzao.
Mtoa mada naona anawakumbusha tu watoe boriti kwenye macho yao kuliko kung'ang'nia kutoka kibanzi kwenye jicho la mwenzio na hapa utawaona kwa wingi na wengi wao watakuja na matusi tu
 
Tata kama unalijua hilo kwa nini unailalamikia Azam kuwa ni wadini?
Tuliambiwa tusilalamike. Na mimi nimeona nitoe ushauri wa kistaarabu, na unaofanana na ule tulioshauriwa kipindi cha salamu za Christmas.
 
Mbaya zaidi kwenye taarifa za habari au vipindi vyao watangazaji wao wanawafosi wapige salamu Maria na waseme bwana yesu asifiwe hii si haki hata kidogo.
Wapi hii!!! Sijawahi ona!
 
Ngoja vibesen xxx vya pombe aje akupe mrejesho

Maana ndio anapendaga hizi mada
 
Tuletee mapambio ya waislam tuweke
 
Sasa kipindi Cha dini unataka useme samaleko?

Angalia channel za azam
 
Ni mtaa hakuna nchi pale
Pumbas,
Rudini kwenu wagalatia, leo miaka 60 hamjafanikiwa, waacheni wenyewe na inchi yao, wale wameelimika zamaniiiiii hamuwawezi,
Na sasa wanawatawala
Na watawatawala mpaka mtachukia,
Zanzibar ni inchi kamili mnawachelewesha tu na udini wenu
 
Angalia TV2, Wao ni Mpira na Qaswidah, Kila mtu ashinde mechi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…