ITV na Star TV acheni udini

tena jumapili na jumamosi tv zote ni viuno kanisani nyimbo zao kama wakongo masaa 24 lakini ijumaa wanatuletea kaswida ambayo kwa waislamu kaswida sio ibada, hawaleti mahubiri hiyo kaswida wanaleta saa 1 tu pumbavu zao
 
Hili tatizo la ubaguzi wa kidini ukifatilia utalikuta hata azam lipo kwa kiasi kikubwa.
 
Mbona ZBC muda mwingi ni vipindi vya waislamu tu kwani wanatuchukuliaje sisi wakristo? Ukishindwa kujibu hilo basi tambua dini isitufarakanishe
 
Kaangalie TV imani
 
Angalia TV IMANI na ZBC
 
Mada za udini na ukabila/ukanda zinazidi kupamba moto. Ipo siku hoja hizi hizi ziteleta mpasuko mkubwa kitaifa
 
Kuna wenzio wanailalamikia Azam ikionyesha mpira katika uwanja wa Dodoma wanaonyesha na msikiti uliokaribu na uwanja aonao unaawambiaje?
Nawaambia,
Wahamie DSTV wakishindwa waangalie sinema Zetu mwanzo mwisho.
 
Nawaomba mods hiyo ban wasiitoe kabisa ikiwezekana hii id ya mleta uzi ifutwe kabisa.
 
ITV kila ijumaa wanaweka mambo ya waislamu. Azam ndio wanaliogopa jina la Yesu Kristo
 
Zanzibar ni inchi ya kiislamu
Zanzibar ni nchi iliyo kwenye muungano na hizo national broadcasting channels zinalipiwa kodi na wallpapers kodi wa JMT qmbayo sio state ya kiislqmu lakini hujawahi kusikiq mkristo akilalamika content zao....ITV na Star TV ni private cooperation huwezi jua wanaohost hivo vipindi pengine wanalipia content zao.
Tuishi kwa amani tu malalamishi yasiyo na mashiko yasitupotezee malengo
 
Tafuta tv ya dini yako kwanini una lazimisha wefanye kama unavo taka, hao watu ni wadini sana japo wanasema wenzao.
Nyinyi sindio mlikuwa mnalalamika azam tv hawaweki nyimbo za x mass
 
Zanzibar nayo ni Tz je, ZBC wanapiga muziki wa gospel?[emoji851]
 
Tv zenyewe sinajifia polepole achana nazo zimechanganyikiwa tizama azam tv bora
 
Zaidi ya asilimia 10 ya wazanzibari ni wakristu nao pia wana haki kwa kila kitu kama wakazi wengine

asilimia 10? my foot. Labda wakaazi lakini sio wazanzibari. Wazanzibari wakristo hawazidi hata 1%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…