ITV na upotoshaji wa habari yadai Yanga imetwaa ubingwa 2016/2017

Hivi mikia fc mmeshawahi kupata ushindi wa magoli 6 msimu huu....kama mnataka kushushwa daraja fanyeni ujinga wenu kama mwaka 1988
 
Tunamfunga mwadui 13-0. Na mbao anamfunga yeboyebo . Halafu pointi tatu za kagera zinarudishwa na FIFA. Yeboyebo ubingwa hamna. TFF TANGAZENI UBINGWA WA YANGA TUWASHTAKI. Napita tu
Ndoto za alinacha
 
Hata hesabu ya darasa la nne inaweza kuwalinda ITV kwamba Yanga ni Mabingwa! Acha Ubashite!
 
Hawajitambui...hesabu au namba hazidanganyi..yani mwadui afungwe 11-0 na Yanga afugwe 3 za kujifunga?
 
Uzuri ni kuwa mwaka huu bingwa atapatikana mechi za mwisho hizo zingine ni mbwembwe tu au inawezekana mechi za mwisho zikachezwa na bingwa asipatikane mpaka pale Jecha wa CAS atakaposhusha rungu lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…