Taka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
Nifah nimekuona uwanja wa Taifa leo na vazi la ubingwa Yanga! Umependezajeeee! Kama Yanga yenyewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
FIFA mnaenda lini?
cheers mkuu!!Taka usitake Yanga ndio bingwa wa VPL 2016/17
Period
Ndoto za alinachaTunamfunga mwadui 13-0. Na mbao anamfunga yeboyebo . Halafu pointi tatu za kagera zinarudishwa na FIFA. Yeboyebo ubingwa hamna. TFF TANGAZENI UBINGWA WA YANGA TUWASHTAKI. Napita tu
Hata hesabu ya darasa la nne inaweza kuwalinda ITV kwamba Yanga ni Mabingwa! Acha Ubashite!Hawa jamaa wanatakiwa kubalansi habari za michezo sababu kimahesabu bado wanaowafuatia wana uwezo wa kuwa kubadilisha matokeo ingawa kiuhalisia inaweza kuwa na changamoto. Chombo kikubwa cha habari kama kinatakiwa kuwa na weledi jadidu kwenye utoaji wa habari za michezo.
NAMUONA MOHAMED DEWJI AMEBEBA KOMBE LA SIMBA![]()
Kazi kweli kweli