ITV wamkatia sauti Zitto

ITV wamkatia sauti Zitto

Vyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.

Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.
Yaani zitto kafanya uchambuzi makini sana
 
Mawasiliano yalisumbua ndiyo ikabidi wakatize ila baadaye walirudi
 
Back
Top Bottom