fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Yaani zitto kafanya uchambuzi makini sanaVyombo vya habari ni lazima viwe na ujasiri vinapoamua kurusha mubashara maongezi ya Zitto Kabwe au Tundu Lisu.
Nimesikitishwa na kitendo cha ITV kumkatiza Zitto Kabwe wakati akiichambua ripoti ya CAG.
Zitto ametolewa hewani kabla hsjahitimisha point na hotuba yake na wamemrejesha wakati wa maswali.