Uchaguzi 2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

Uchaguzi 2020 ITV washambuliwa mtandaoni baada ya kuwataka wananchi wawatumie matukio yanayojiri kwa WhatsApp

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Screenshot_20201028-193735.png
Screenshot_20201028-193916.png
Screenshot_20201028-193848.png
Screenshot_20201028-193823.png
Screenshot_20201028-193809.png
Screenshot_20201028-193747.png
Screenshot_20201028-193735.png
 
Attachments

  • Screenshot_20201028-193800.png
    Screenshot_20201028-193800.png
    78.7 KB · Views: 1
ITV kwa nini wasitangaze mitandao ya kijamii haipatikani Tanzania waache unafiki
 
#Usalama wa taifa ni muhimu kuliko kitu chochote kike
Ujinga mzigo sana, kama wangetenda haki kungekuwa na tatizo kweli? Kwanza sisi wananchi ndio tungekuwa wa kwanza kuwaambia wapinzani mmeshindwa na mkubali matokeo
 
Internet inazimwa ndani ya nchi zaidi ya siku 1 alafu chombo kikubwa ndani ya nchi hiyohiyo hakijatangaza wala kukemea chaajabu ndio kwanza chombo husika kinaomba kutumiwa video za matukio yanayoendelea kwenye mitaa ya nchi.

Hili ajabu liwe la 8 la dunia
 
Kama kuzima internet ni ushamba
Kuhepuka mihemko
Basi Tanzania itakuwa sio mshamba wa kwanza hata China waliwahi kuzima
Korea Kaskazini walizima
Na washamba wengine kibao kutoka kila kona ya dunia uwa wanazima kwa usalama wa nchi zao
 
Ujinga mzigo sana, kama wangetenda haki kungekuwa na tatizo kweli? Kwanza sisi wananchi ndio tungekuwa wa kwanza kuwaambia wapinzani mmeshindwa na mkubali matokeo
Marekani hakuna haki.? Mbona waliilalamikia facebook kwa kupanga matokeo ya urais.!

Bc tuseme dunia mzima hakuna haki
 
Internet inazimwa ndani ya nchi zaidi ya siku 1 alafu chombo kikubwa ndani ya nchi hiyohiyo hakijatangaza wala kukemea chaajabu ndio kwanza chombo husika kinaomba kutumiwa video za matukio yanayoendelea kwenye mitaa ya nchi.

Hili ajabu liwe la 8 la dunia

Kuna tafaut ya internet kuzimwa na mitandao ya jamii kuwekwa kwenye repeaters, elimu muhimu
 
Back
Top Bottom