Ukisikia kuna vyombo vya usalama wa Taifa basi tambua moja ya majukumu yao ni kulinda usalama wa Taifa
Ooohh mbona hakuna tishio lolote la usalama tumejifunza kupitia corona
Mlikuwa mnapotosha umma kupitia social media
Maiti zimetapakaa amana, watu wanazikwa usiku, kumbe mnachukua maiti za ebola huko Ivory coast mnazitupia social media alafu mnaketa taharuki katika jamii kunduchi hiyo
Pumbafff piga Ban mitandao yote kisha nchi imetulia tuliii
Wapotoshaji, waleta taharuki nchini wamebaki wanalalama tu, kama kondoo aliyelazwa chini anasubiri kuchinjwa..