Pia marekani waliilalamikia facebook kwa kupanga matokeo, tatizo watu hawajui athari za mitandao ya kijamii hasa wakati huu wa uchaguzi ndio maana wanaongea ujingaKama kuzima internet ni ushamba
Kuhepuka mihemko
Basi Tanzania itakuwa sio mshamba wa kwanza hata China waliwahi kuzima
Korea Kaskazini walizima
Na washamba wengine kibao kutoka kila kona ya dunia uwa wanazima kwa usalama wa nchi zao
Sema vibaraka wa mabeberu mmepata aibu.....sie tunakula monde tukisikiliza matokeo kwa bashasha aibu yenuNchi imepata aibu ya kishamba sana
Kuna vurugu zilitokea Marekani? Kura zetu za analog fb inaingiaje. Umefika hata darasa la nne kweli wewe?Pia marekani waliilalamikia facebook kwa kupanga matokeo, tatizo watu hawajui athari za mitandao ya kijamii hasa wakati huu wa uchaguzi ndio maana wanaongea ujinga
Kwani kuna hofu gani ya kiusalama mkuu?Mbona Tanzania amani imejaa sana sasa unaposema usalama ni muhimu nashangaa shida ipo wapi.#Usalama wa taifa ni muhimu kuliko kitu chochote kike
Facebook hajalalamikiwa kupanga matokeo ya Marekani ww hv unajua mfumo wa uchaguzi wa Marekani umekaa vp au ndo uliangalia movie ndo unakuja kuleta habar zako.Facebook company ilkuwa na tuhuma tu za kuruhusu baadhi ya content ambazo walihisi zilichangia kubadl mtazamo wa nan apigiwe kura and not otherwise and mind you they were claims or allegationsPia marekani waliilalamikia facebook kwa kupanga matokeo, tatizo watu hawajui athari za mitandao ya kijamii hasa wakati huu wa uchaguzi ndio maana wanaongea ujinga
Kwani kuna tishio la usalama nchi hii?Mbona serikali imefanya kila kitu chema sasa wasiwasi wa nini mkuu?Kama kuzima internet ni ushamba
Kuhepuka mihemko
Basi Tanzania itakuwa sio mshamba wa kwanza hata China waliwahi kuzima
Korea Kaskazini walizima
Na washamba wengine kibao kutoka kila kona ya dunia uwa wanazima kwa usalama wa nchi zao
Kama kuzima internet ni ushamba
Kuhepuka mihemko
Basi Tanzania itakuwa sio mshamba wa kwanza hata China waliwahi kuzima
Korea Kaskazini walizima
Na washamba wengine kibao kutoka kila kona ya dunia uwa wanazima kwa usalama wa nchi zao
Unakurupuka tuu bila kuelewa jambo, ndio maana nkasema mitandao ya kijamii inaweza kuathiri uchaguziFacebook hajalalamikiwa kupanga matokeo ya Marekani ww hv unajua mfumo wa uchaguzi wa Marekani umekaa vp au ndo uliangalia movie ndo unakuja kuleta habar zako.Facebook company ilkuwa na tuhuma tu za kuruhusu baadhi ya content ambazo walihisi zilichangia kubadl mtazamo wa nan apigiwe kura and not otherwise and mind you they were claims or allegations
Npo darasa la 1 C, kama hy mitandao haiathiri uchaguzi bc wasingezimaKuna vurugu zilitokea Marekani? Kura zetu za analog fb inaingiaje. Umefika hata darasa la nne kweli wewe?
Hivi ukikaa unahisi wote hawajaenda shule ww,hofu walokuwa nayo wengi dunian n kwamba social media zna content ambazo znaweza kupose threat kwa watu ignorant ambao uwezo wao wa kuprocess information mdogo sana.Facebook,whatsapp,Instagram,etc sio threat kwa watu ambao wanajua dunian wanafanyana nn wote ambao mmekuwa anti-social media I doubt either your are ignorant or your are greedy thinking of your own benefits and ignoring the greater good mind you I know how these social media work and have been in this field for a reasonable time so before posting your rubbish mind your social status and position.hope we clear and again unapose false assumption et zinaweza based on what kind of reasoning una evidence zp za kuback up hizo claims zako hyo ndo inaitwa reasoning from ignoranceUnakurupuka tuu bila kuelewa jambo, ndio maana nkasema mitandao ya kijamii inaweza kuathiri uchaguzi
ππππKuna tafaut ya internet kuzimwa na mitandao ya jamii kuwekwa kwenye repeaters, elimu muhimu
Ukisikia kuna vyombo vya usalama wa Taifa basi tambua moja ya majukumu yao ni kulinda usalama wa TaifaKwani kuna tishio la usalama nchi hii?Mbona serikali imefanya kila kitu chema sasa wasiwasi wa nini mkuu?
Ukisikia kuna vyombo vya usalama wa Taifa basi tambua moja ya majukumu yao ni kulinda usalama wa Taifa
Ooohh mbona hakuna tishio lolote la usalama tumejifunza kupitia corona
Mlikuwa mnapotosha umma kupitia social media
Maiti zimetapakaa amana, watu wanazikwa usiku, kumbe mnachukua maiti za ebola huko Ivory coast mnazitupia social media alafu mnaketa taharuki katika jamii kunduchi hiyo
Pumbafff piga Ban mitandao yote kisha nchi imetulia tuliii
Wapotoshaji, waleta taharuki nchini wamebaki wanalalama tu, kama kondoo aliyelazwa chini anasubiri kuchinjwa..
Bwana wako ajambo?Unatuletea Habari za Vitoto tukusaidie nini.
Umeona minchi unayotaja!Kama kuzima internet ni ushamba
Kuhepuka mihemko
Basi Tanzania itakuwa sio mshamba wa kwanza hata China waliwahi kuzima
Korea Kaskazini walizima
Na washamba wengine kibao kutoka kila kona ya dunia uwa wanazima kwa usalama wa nchi zao
Kwa asiye fahamu athari za mitandao ya kijamii hasa wakati huu wa uchaguzi ndo atasema hayo maneno, ht mm nimeathirika kwa hy mitandao kufungwa lkn usalama wa taifa kwanzaNchi imepata aibu ya kishamba sana