and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wahudhuriaji ni hao hap wananchi/wapiga kuraKwenye list Yako Kuna matamasha mengine niya mtu binafsi kama nandy na wasafi. Labda ungezungumzia matamasha ya kitaifa yanayogusa watu wote na ambayo sio benefits kwa mtu husika
Hahaha. Sawa.Hivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia;
1. Kizimkazi Festival,
2. Tulia Trust Festival,
3. Arusha Land rover Festival,
4. Majimaji Festival,
5. Wasafi Festival,
6. Nandy Festival,
7. Vespa Zanzibar Tourism Festival,
Punde tutasikia Ruangwa na Buhigwe festivals.
Ili uratibu uwe mzuri ingefaa iundwe wizara maalum chini ya Waziri Komredi PCM.
**Wizara ya utamaduni imezidiwa
OkayHivi karibuni Kumekua na Matamasha kila Kona (mwanzo- mwisho kuanzia;
1. Kizimkazi Festival,
2. Tulia Trust Festival,
3. Arusha Land rover Festival,
4. Majimaji Festival,
5. Wasafi Festival,
6. Nandy Festival,
7. Vespa Zanzibar Tourism Festival,
Punde tutasikia Ruangwa na Buhigwe festivals.
Ili uratibu uwe mzuri ingefaa iundwe wizara maalum chini ya Waziri Komredi PCM.
**Wizara ya utamaduni imezidiwa