Iv wakenya mnamigodi kweli

Iv wakenya mnamigodi kweli

Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
173
Reaction score
127
Ndugu zetu wakenya mnateseka sana na mamb ya tz akat yenu ya kuuza madn fek 2meyakalia kimya 2 2onyeshen migod yenu basi
 
Kwani nyinyi na hayo migodi yenyu yooote mnashinda Kenya kwa lini? Wajua Kenya ni kati ya mataifa yanayouza Tanzanite kwa wingi zaidi duniani....kuliko hata Tanzania, kunakotokea madini hayo? Bongolala nyinyi.
 
Hiyo ya tanzanite ilikuwa enzi za kikwete hivi sasa mze baba kawabana pumbu pa kumulia hamna.
 
Migodi mko nayo mmefanyia nini.Wazungu wamebeba all your ORES,mmebaki tu kufagia compounds za waarabu hap Dar is slum..Pugah
 
Hiyo ya tanzanite ilikuwa enzi za kikwete hivi sasa mze baba kawabana pumbu pa kumulia hamna.
LA hasha, madini ya Tanzanite bado zinakuwa processed Nairobi na kuuzwa kwenye mataifa ya nje. Kenya haina Tanzanite, lakini no vipi hill linafanyika? Bongolala nyinyi kuamini hizo propaganda ovyo za Magufuli.

Kenya haina madini mengi ikiwemo ya limestone, flourspar, chumvi, changarawe, aina kadhaa vyuma na hivi majuzi mafuta yaligunduliwa.

Hata hivyo kwa miaka nyingi tangu uhuru, Kenya bado ilikuwa na uchumi madhibuti kuliko mataifa karibu yote zinazongozwa na watu weusi, has a kwa kuzingatia zaidi sekta za huduma, benki, viwanda,utalii, kilimo ya mazao ya kuuzwa ngambo nk.

Zingatia ukweli huu, ya kwamba sekta ya madini kwa nchi nyingi zinazoendelea, hasa Africa ni kisirani. Nchi za Africa ambazo zimebakia zenye amani na angalau zimefikia ufanisi fulani kiuchumi ni zile ambazo zina madini duni. Shukuruni Mungu watanzania mlisazwa kutokana na serikali madhubuti mliokuwa nayo ya Nyerere nyakati zile.
 
Endelea kujifariji.tanzanite inauzwa palepale mirerani huko Nairobi wananunua vito tu
 
Migodi tuwe nayo ya nini wakati Tanzania shamba la bibi lina migodi ya kutosha ambayo kila mtu hujichukulia.
Hapa Nairobi ndio soko kubwa la dhahabu na Tanzanite, na pia ndiko watalii wanashukia wengi ili kuona mlima Kilimanjaro.
Huwezi kupewa vyote, unapewa raslimali unanyimwa ubongo, au upewe akili unyimwe raslimali.
Hivyo sisi hatuna migodi wala raslimali lakini kwa vile tumepewa akili, tunatawala ukanda wote huu kiuchumi.
Nyie raslimali na migodi mnayo ila maskini wa kutupwa maana mlinyimwa akili.
 
Mnaiba Congo kwan nan hajui hahahaha tz hamuwez kuiba tumewaminya mapumb****
 
Tz inaibiwa na waarabu, wahindi na WaSouth, sijui kama Wakenya wamefaulu hapo.
Huwa inaniuma kujua hayo mashamba ya bibi yanaliwa na wageni bila ya mimi kupata fursa ya kuja kukwapua pia.
Noah kwa kila Mtanzania, wapi mnazigawa nizamie.
Nipeni mchongo, unaanzia wapi maana mtabaki mahandaki matupu kabla mimi pia sijajichukulia.
 
LA hasha, madini ya Tanzanite bado zinakuwa processed Nairobi na kuuzwa kwenye mataifa ya nje. Kenya haina Tanzanite, lakini no vipi hill linafanyika? Bongolala nyinyi kuamini hizo propaganda ovyo za Magufuli.

Kenya haina madini mengi ikiwemo ya limestone, flourspar, chumvi, changarawe, aina kadhaa vyuma na hivi majuzi mafuta yaligunduliwa.

Hata hivyo kwa miaka nyingi tangu uhuru, Kenya bado ilikuwa na uchumi madhibuti kuliko mataifa karibu yote zinazongozwa na watu weusi, has a kwa kuzingatia zaidi sekta za huduma, benki, viwanda,utalii, kilimo ya mazao ya kuuzwa ngambo nk.

Zingatia ukweli huu, ya kwamba sekta ya madini kwa nchi nyingi zinazoendelea, hasa Africa ni kisirani. Nchi za Africa ambazo zimebakia zenye amani na angalau zimefikia ufanisi fulani kiuchumi ni zile ambazo zina madini duni. Shukuruni Mungu watanzania mlisazwa kutokana na serikali madhubuti mliokuwa nayo ya Nyerere nyakati zile.
Changarawe mnanunua bei ngapi kwa gram?
 
Back
Top Bottom