Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ni mganga wa kienyeji ndio alikoanzia wakati wanahaso na zari baadae kwenye biashara za visa kwa wanaokwenda kusoma nje ya nchi ana chuo pia sijajua ni cha nn....
 
Hatarudi tena,Ivan asharudi kwake aliyemleta duniani,may his soul rest in peace,Mungu ampe nguvu ya uvumilivu Zee na wanawe.
 
Wabongo bwana kila kitu sembe tu,.yaani watu wana njaa mawazo yao yako kwenye ugali.
 
Ushawahi ona bakhresa anapiga picha na pesa? Na social media zipo na hats anamiliki media zake?
Acha mambo ya Bakhresa

Umeulizwa je miaka ya 1980's kulikuwa na social network mpaka Pablo Escobar apige hizo picha?

Jibu swali kwanza kabla hujauliza lako.
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] umetisha aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…