Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Pesa iko haswaa,Hivi ukipiga picha na pesa ni zako?Ok,mi naendaga Dar es salaam Zoo kupiga picha na Simba.
Aise ...kumbe ni ezemwoo ?Mkuu Ivan na wenzake ni waganga wa kienyeji wateja wengi wapo SA lakini wanakula vichwa world wide,
Anasemwa ni mganga aliyebobea zaidi kwenye kucheza na nyoka anapofanya kazi yake.
Ok why alimuachaPesa iko haswaa,
Mara kibao Zari anamfata inbox anaomba pesa ya matumizi yake binafsi, wapambe wa Ivan huwa wana-screenshot msg za Zari Mara anaomba USD 3000 ya shopping mara anaomba pesa ya kufanya business nk
Kupost wapi hizo picha?? 1980's kulikuwa na hizi social network??Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Huyo simba ni wako tunajuaHivi ukipiga picha na pesa ni zako?Ok,mi naendaga Dar es salaam Zoo kupiga picha na Simba.
Unaakili nyingiKupost wapi hizo picha?? 1980's kulikuwa na hizi social network??
Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Pablo EscobarNas Escobar hajawahi kuwa muuza madawa maarufu... Bali msanii maarufu wa hip hop, labda kama ulimaanisha Pablo Emillio Escobar.
Kupost wapi hizo picha?? 1980's kulikuwa na hizi social network??
MkuuMuuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Sijui mmelelewa wapi hadi utukane?Pablo Escobar sio nas escober !!!pumbafu
You are right. Na pia Kiafrica, kujiexpose kuwa unatembea na pesa nyingi hukuweka katika hatari ya kuvamiwa na majambazi au watekaji.Ukiona mtu anapiga Pict na pesa hivo jua hana pesa , wenye pesa huonesha investments zao na sio pesa kwani matajiri wengi huamini pesa sio asset isipokua uwekezaji Ndio asset, hata Floyd my weather iko siku hatopost pesa vile ,
Sidhani kama atachukua muda huyu, labda kama huwa anapigia picha na kuzirudisha mahali salama na wao wakijua hilo maana hawachelewi kujaribu bahati zao.Watu wa kazi hawajam Kardashian tu huyu?