Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Hivi ukipiga picha na pesa ni zako?Ok,mi naendaga Dar es salaam Zoo kupiga picha na Simba.
Pesa iko haswaa,
Mara kibao Zari anamfata inbox anaomba pesa ya matumizi yake binafsi, wapambe wa Ivan huwa wana-screenshot msg za Zari Mara anaomba USD 3000 ya shopping mara anaomba pesa ya kufanya business nk
 
Ukiona mtu anapiga Pict na pesa hivo jua hana pesa , wenye pesa huonesha investments zao na sio pesa kwani matajiri wengi huamini pesa sio asset isipokua uwekezaji Ndio asset, hata Floyd my weather iko siku hatopost pesa vile ,
 
Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.

Nas Escobar hajawahi kuwa muuza madawa maarufu... Bali msanii maarufu wa hip hop, labda kama ulimaanisha Pablo Emillio Escobar.
 
Ukiona mtu anapiga Pict na pesa hivo jua hana pesa , wenye pesa huonesha investments zao na sio pesa kwani matajiri wengi huamini pesa sio asset isipokua uwekezaji Ndio asset, hata Floyd my weather iko siku hatopost pesa vile ,
You are right. Na pia Kiafrica, kujiexpose kuwa unatembea na pesa nyingi hukuweka katika hatari ya kuvamiwa na majambazi au watekaji.
 
Back
Top Bottom