Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ukiona mtu anapiga Pict na pesa hivo jua hana pesa , wenye pesa huonesha investments zao na sio pesa kwani matajiri wengi huamini pesa sio asset isipokua uwekezaji Ndio asset, hata Floyd my weather iko siku hatopost pesa vile ,
Ye kaamua kukuonesha pesa,una uhakika hana investments??Huyo Floyd Maywether ni kinara wakupiga pcha na hela na je hana pesa? Au hana investments?hayo ni maamuz yake huenda anapga pcha na hela nakisha anaenda kuwekeza..So mtu kuflex insta ni maamuz yake
 
nachojua anaishi nyumba ya kupanga na diamond kamnunulia mama watoto wake nyumbna ili waishi kwa raha
uko gizani ivan ana hela diamond mwenyewe nyumba kanunuliwa na zari..vilevile diamond mwenyewe kaolewa pale alianza kwa kununuliwa then akachukuliwa kabisa..
 
Duhh sawa acha nitunze jelo yangu ya chapati moja kesho
 
Pablo Escobar alikuwa anaingiza dollar million 60 kila siku zinaingia kwenye account lakini hakuwa kupiga picha na pesa zake. Wenye mil 100 tu wana photo za pesa zao like hell.

Most of rich guys wanaojielewa sio wapiga picha na mali zao. Like Mark, huwezi kuona his pic with cash.



 
Vidole kwenye mikono na miguu yako havilingani.. Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi..

Kama Pablo alikuwa anaingiza $ 60 Million na akawa anafanya siri wewe ulijuaje??
 
Pesa iko haswaa,
Mara kibao Zari anamfata inbox anaomba pesa ya matumizi yake binafsi, wapambe wa Ivan huwa wana-screenshot msg za Zari Mara anaomba USD 3000 ya shopping mara anaomba pesa ya kufanya business nk
Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.
Halafu hawa rich gang wakitaka kuexpose kila mawasiliano ya zari kwa Ivan mbona domo atamkimbiza zari mchana kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…