Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ye kaamua kukuonesha pesa,una uhakika hana investments??Huyo Floyd Maywether ni kinara wakupiga pcha na hela na je hana pesa? Au hana investments?hayo ni maamuz yake huenda anapga pcha na hela nakisha anaenda kuwekeza..So mtu kuflex insta ni maamuz yakeUkiona mtu anapiga Pict na pesa hivo jua hana pesa , wenye pesa huonesha investments zao na sio pesa kwani matajiri wengi huamini pesa sio asset isipokua uwekezaji Ndio asset, hata Floyd my weather iko siku hatopost pesa vile ,
Nas??Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
uko gizani ivan ana hela diamond mwenyewe nyumba kanunuliwa na zari..vilevile diamond mwenyewe kaolewa pale alianza kwa kununuliwa then akachukuliwa kabisa..nachojua anaishi nyumba ya kupanga na diamond kamnunulia mama watoto wake nyumbna ili waishi kwa raha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nas Escobar hajawahi kuwa muuza madawa maarufu... Bali msanii maarufu wa hip hop, labda kama ulimaanisha Pablo Emillio Escobar.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hata Ray anaigizaga ma movie kwenye yale Majumba a.k.a Mahekalu tofauti tofauti..
Pambana mkuu... hii kauli yako ya kushindwa sana..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Msema kweli ni futi 6
ulisoma vidudu wapi mkuuHivi ukipiga picha na pesa ni zako?Ok,mi naendaga Dar es salaam Zoo kupiga picha na Simba.
Mbona Floyd ana pesa nyingi tu na anapost?Hela za utapeli tuu mbona MO DEWJI hawapost Noti au Dangote
Vidole kwenye mikono na miguu yako havilingani.. Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi..Pablo Escobar alikuwa anaingiza dollar million 60 kila siku zinaingia kwenye account lakini hakuwa kupiga picha na pesa zake. Wenye mil 100 tu wana photo za pesa zao like hell.
Most of rich guys wanaojielewa sio wapiga picha na mali zao. Like Mark, huwezi kuona his pic with cash.
![]()
![]()
Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.Pesa iko haswaa,
Mara kibao Zari anamfata inbox anaomba pesa ya matumizi yake binafsi, wapambe wa Ivan huwa wana-screenshot msg za Zari Mara anaomba USD 3000 ya shopping mara anaomba pesa ya kufanya business nk