Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Msema kweli ni futi 6
Hahaha Mawazo ya mkosaji hayo joh! Atakula bata na wew utaendelea kula unacho kipata na yeye ataendelea kula acho kitaka na wote tutakufa!

Vipi mkuu bado upo Mwanza nataka nije kula kambale
 
Dah aiseee
 

hata mimi nilimshangaa Diamond amekosa wa kumshauri kuwa South Africa sio safe place ku-battle na watu kama Rich Gang.
Meneja wa Diamond wana kibarua kigumu kumshauri aache yale mashobo ya kiswazi especially atakua anaenda SA aliponunua nyumba.
 

Ivi kuchukuliwa mwanamke na kumwona mwanamke wako anafurahi na kuibiwa ela kipi chauma zaidi.!?
 
Dah huyu jamaa nilikua namsikia tuu kua ana mpunga kumbe ana mpunga wa maana aseee.
Kanipa wivu wa kuhustle hard aseee
 
Vidole kwenye mikono na miguu yako havilingani.. Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi..

Kama Pablo alikuwa anaingiza $ 60 Million na akawa anafanya siri wewe ulijuaje??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daah yaan nimecheka kwa nguvu.
 
hata mimi nilimshangaa Diamond amekosa wa kumshauri kuwa South Africa sio safe place ku-battle na watu kama Rich Gang.
Meneja wa Diamond wana kibarua kigumu kumshauri aache yale mashobo ya kiswazi especially atakua anaenda SA aliponunua nyumba.
Ha haa mashobo ya kiswahili!
 
Bill Gates
Warren Buffet
Mark zuckerberg
Amancio ortega
R.Mengi
Mzee Bakhresa

Moh dewj
.
.
Etc.

Toka nime anza kuwafatilia hawa nilio wataja apo juu sija wahi ona wakifanya show offs za kijinga kama anazo fanya uyu jamaa + mywether na wengneo
Sijui ni ushamba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…