BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #101
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu Zarina anapendaga saana kutwa mara tisa.
Sasa jama pumzi inakata nusu ya kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu Zarina anapendaga saana kutwa mara tisa.
Sasa jama pumzi inakata nusu ya kwanza.
kitu asipokifanya MO basi kila mtu asifanye, is he Katiba?Hela za utapeli tuu mbona MO DEWJI hawapost Noti au Dangote
Iliachiwa sextape sijui clip na hajaachwa mtu, usipende kuwa mpiga ramli kwenye mapenzi ya wenzio. Wakichokana wataachana tu.Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.
Halafu hawa rich gang wakitaka kuexpose kila mawasiliano ya zari kwa Ivan mbona domo atamkimbiza zari mchana kweupe
Sasa hapa nani ni mganga wa kienyeji, wewe au Ivan au wote, najaribu kujiuliza umeyajuaje hayo uliyoyasimulia hapo!mganga yule!
Zari na Ivan ni partners in crimes na ukumbuke wale ni wazazi wa watoto wa3
Naamini mpk Leo Ivan anakula mzigo ule kiulaini!
Na mondi anachunwaaa!!
Hujawahi ona mwanamke kaolewa Ila bwana ake wa longi akimtaka anampata kwa urahisi tu!
So Mwisho wa mchezo Zari atarudi kwa ivan !!
Amini maneno yangu!
Mimi ndo mganga wa kienyejiSasa hapa nani ni mganga wa kienyeji, wewe au Ivan au wote, najaribu kujiuliza umeyajuaje hayo uliyoyasimulia hapo!
Don't take things personal ni mfano tu ningeweza kumtaja hata Bakhressa miss Deaf [emoji8] [emoji8]kitu asipokifanya MO basi kila mtu asifanye, is he Katiba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya banaMimi ndo mganga wa kienyeji
Kua na amani!!
Sawaa...?
Kama they cant show what they have then its up to them.. Hakuna sheria ya nchi wala ya kidini inayolazimisha tajiri asiwe na show off.. Besides everyone has his/her way to show off.. Hao matajiri unaosema they don't brag out waambie watembelee Vits na wakae kwenye nyumba za kawaida..Soma Autography ya Pablo, sio maneno yangu its true. Hana picha akiwa ameshika hata dollar moja.
My point sio diversity ya life styles, because hata vichaa ni tofauti na wenye akili timamu.
My point ni kuwa, attachments on show-off?
Kuna rich peoples ambao hawana hiyo show-off na wana pesa.
And beside, at the end everyone was born naked and we will die naked. We will leave everything, hatutaondoka hata na senti moja, not even our bodies and its beautiful look, tutaacha vyote.
Then we can do something meaningful in life, something that can not decay. Sio sifa.
Kila mtu ana jinsi ya kushow off... Mfano, Mzee Mengi hatembei na gari yeyote zaidi ya Mercedes Benz..Bill Gates
Warren Buffet
Mark zuckerberg
Amancio ortega
R.Mengi
Mzee Bakhresa
Moh dewj
.
.
Etc.
Toka nime anza kuwafatilia hawa nilio wataja apo juu sija wahi ona wakifanya show offs za kijinga kama anazo fanya uyu jamaa + mywether na wengneo
Sijui ni ushamba??
Nothing is personal , nauliza tu kama hao unaoendelea kuwataja hawapigi picha na hela basi wengine wanaojisikia kufanya hivyo wasifanye?Don't take things personal ni mfano tu ningeweza kumtaja hata Bakhressa miss Deaf [emoji8] [emoji8]
Ndo mana nkauliza mkuu hahaha hatari sana hii..hela zimejaa but mishe hazionekani
one luv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bana
Haha Haya usiku mwema kesho twende Bank Ku Deposit mahela au sio halafu tuje tupige pichaNothing is personal , nauliza tu kama hao unaoendelea kuwataja hawapigi picha na hela basi wengine wanaojisikia kufanya hivyo wasifanye?
Watu wanashangaza sanaNothing is personal , nauliza tu kama hao unaoendelea kuwataja hawapigi picha na hela basi wengine wanaojisikia kufanya hivyo wasifanye?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha Haya usiku mwema kesho twende Bank Ku Deposit mahela au sio halafu tuje tupige picha[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji16] [emoji38]![]()
Ok.Kuwajui huwajui angalia tu upite
Chuo kimojawapo na mengineyo kwa kujijua na kujifurahia.
zari alimwacha ivan bada ya kutoka na mwanamitindo wa uganda aliyeshirikigi big brother sijui ulikua mwaka gani tena ivan alikua anataka kumuoa mke wa pili akamwambia zari hawezi mwacha uyo mwanamke kama wanaachana waachaneOk why alimuacha