Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

uko gizani ivan ana hela diamond mwenyewe nyumba kanunuliwa na zari..vilevile diamond mwenyewe kaolewa pale alianza kwa kununuliwa then akachukuliwa kabisa..
Weeeh kweli kuhusu mondi kasema nyumba kanunua mill 400
 
Kweli kabisa uliyoongea yaan mond anachunwa haswa na ivan na zari wanajua wanachofanya
 
Ukijua info zake zitakusaidia nini wewe Acha ufukara wa mawazo tafuta mkate wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…