ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Siwezi ishi nyumba ya makuti kwa sababu ya ghorofa la jirani. Hivi unadhani hiyo leaders hao wa mbagala hawaendi..??? KUKAA KARIBU NA MAHAKAMA SI KUJUWA SHERIA
hilo nalo neno ila kweli umamwambia maana naona katoka povu balaa...