Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
kinondoni unataka kuifananisha na mbagala!!!unajua leaders iko maeneo gani au unaisoma tu magazetini????leaders iko kinondoni kitovuni mwa ada estate yaani hapo utakuta nyumba za vigogo wa serikali yako,ukichungulia huku ubalozi wa france,mbele kidogo ulipokuwa ubalozi wa marekani zamani, ukikata corner bahari ya hindi!kiufupi ukiwa leaders kipupwe cha bahari unajenga nacho urafiki!!!!!!haya toa maeneo yanayopakana na maeneo ya dar live!!!kama hujaanza kusema sijui kwa mbele shamba la nazi la mzee kauzeni,kwa nyuma sijui fundi seremala cheusi dawa ukikata kona magofu ya mabomu...we!!!!iache leaders kabisa!
Very low! Na wewe unajiita great thinker??