Ivi furaha ya maisha ni nin?

Ivi furaha ya maisha ni nin?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Jaman,ebu nsaidieni mwenzenu,furaha ya maisha ikoje,maana sielewi kabisa nin moyo wangu unataka.kwa kifupi nimekua na kulelewa katika familia yenye kipato cha daraja la kati ambapo yani zile shida ndogo ndogo cjawahi kukumbana nazo ktk maisha yangu,nikija ktk suala la love affairs,ninao gals wa kutosha na wenye mvuto tu,bt nahis bado kuna kitu ninakikosa maishan mwangu.nsaidien kuniambia,true happness of life inaletwa na nin?
 
Kuliwa mtandao wa rahisi.

Kama unabisha muulize boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Raha ya maisha ni kupata unachohitaji zaidi, na shida ni kukosa unachohitaji zaidi. kwako wewe ambae hujui unachohitaji, huna raha wala shida na maisha kwako hayana maana!!
 
Heshima kwako Senetor,
Hili ni swali la kifalsafa,unaweza jaza maktaba kwa mdahalo na maandishi utakayoandika juu ya mada hii.
Natumaini wadau tutajitokeza kwa wingi kujibu swali hili muhimu kwa kila mtu.

Dokezo langu,
Chanzo hicho ni tofauti kati ya mtu na mtu. Na pia hubadilika kutoka sehemu hadi sehemu.
 
Uko karibu na muumba wako?
Jaribu na hiyo, inawezekana hicho ndicho chakosekana!

About hao gals, kuna unayempenda? Kuna anayekupenda? Maana waweza kuwa na lots of beautiful gals lkn ukamiss LOVE
 
Raha ya MAISHA ni KUISHI that's all .
Bila KUISHI (ndiyo kupumua)
usingeandika hii Thread !
Usingekuepo juu ya dunia , na habari zako zisingekuwepo.
 
Kijana anza kusali ikiwa uta sali kila siku, you have nothing to worry about.

Wengi tunakosea, tunadhani furaha ya mtu ni kuwa na pesa nyingi, au unapendwa sijui na wanawake wangapi hizo ni danganya totoz.
 
..peace of mind
..internal satisfaction
..giving more than you receive
..love yua god
..love yua neighbour
 
Mrudie muumba wako mambo yako yatakuwa safi kabisa.hali hiyo si ya kawaida ni shetani tuu.,wakati mwingine hupelekea watu kujiua."njoo ufanyiwe maombi".kila lakheri.
 
Life is how you make it... Tafuta mtu akutafsirie ndiyo jibu la swali lako..
 
To feel you have everything you want....roughly peace of mind!
 
do u think kuwa na wanawake weengii,wakaaaliii ndo furaha ya maisha?hao galz wote ulionao ni km makopo kwako ndo mana huisi chochote/furaha.
 
Furaha yako iko ndani yako nayo ni UPENDO,na maana ya UPENDO ni kumkubali mtu au kujikubali bila masharti,vitu vilivyo nje yako vitakupa raha na sio furaha.Furaha haiko nje bali ndani anza kuwapenda watu kwa maana niliyokupa hapo juu na jipende wewe mwenyewe pia,watazame watu kwa utu wao na sio kwa muonekano wao wa nje na pia sio kwa vipimo vya kijamii,we angalia utu wa mtu.Saidia watu bila kudai malipo na bila kuwabagua.Hakika utaiona furaha ya kweli!
 
Furaha ya maisha inategemea umekua katika mazingira gani na kufundishwa au kuaminishwa nini ni muhimu katika maisha yako.

Mafundisho haya unayapata kwa kuona waliokulea wanathamini nini.

Kama ulilelewa katika familia ambayo inaamini pesa ndio chanzo cha furaha basi, wewe ufurahi kwa kuwa na pesa.

Kama uliona mzazi ana furaha kwa kuwa na wanawake wengi wazuri basi na wewe utatafuta furaha yako huko.

Kama uliaminishwa katika kufuata mafundisho ya dini basi ukishika mafundisho hayo na kuyaishi utapata furaha.

Kama uliaminishwa katika kuwa na familia na watoto, vivo hivyo utapata furaha yako huko.

Kwa hiyo, furaha ya maisha inatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine kutegemea na yeye anaona nini ni muhimu maishani mwake. Kilicho muhimu na thamani kwako ukikipata kitakufanya ujione umekamilika.

Nikija kwa mtizamo wangu, upendo wa watu wangu wa karibu ni kitu kinakamilisha furaha
 
Back
Top Bottom