Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Jaman,ebu nsaidieni mwenzenu,furaha ya maisha ikoje,maana sielewi kabisa nin moyo wangu unataka.kwa kifupi nimekua na kulelewa katika familia yenye kipato cha daraja la kati ambapo yani zile shida ndogo ndogo cjawahi kukumbana nazo ktk maisha yangu,nikija ktk suala la love affairs,ninao gals wa kutosha na wenye mvuto tu,bt nahis bado kuna kitu ninakikosa maishan mwangu.nsaidien kuniambia,true happness of life inaletwa na nin?