Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko 😂😂
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani 😂😂😂