Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
- Thread starter
- #41
Waporipori kama nyie hakuna mnachokijua kuhusu Fashion
Ni kweli ya kuvaa Suti na Yeboyebo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waporipori kama nyie hakuna mnachokijua kuhusu Fashion
😂😂
Umenunua lini Smartphone yako.. Hata kama umechelewa kuja mjini lakini sio kwa ushamba huo. View attachment 1553041
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko [emoji23][emoji23]
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemuonea huruma sana jinsi alivyokuwa anahangaika na ile kamba ya kushukiaKuvaa suti na raba Wala sishangai maana Ni wazee wa kukopy na kupaste..nachoshanga hivi Harmonize alishindwa kubuni style ya kuingia nayo hadi 'akamkopy' bwana Domo siku ya Simba day?
Hehehehe jeshi anashuka kwenye kamba kama anateleza kwenye swimming pool.Nimemuonea huruma sana jinsi alivyokuwa anahangaika na ile kamba ya kushukia
Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko 😂😂
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani 😂😂😂
Mwanaume kuwa na wivu kama mtoto wa kike ni dalili mbaya..
andamana au nenda FIFA kabisaMwanaume kuwa na wivu kama mtoto wa kike ni dalili mbaya..
Sina huo muda ya kwetu tumeyamaliza tangu Jana, endeleeni kushikiwa akili na manara..andamana au nenda FIFA kabisa
Angalieni Huko Mbeleni wanavaaje. Mwana michezo kupiga suit na raba ni kawaida.Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko 😂😂
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani 😂😂😂
Angalieni Huko Mbeleni wanavaaje. Mwana michezo kupiga suit na raba ni kawaida.
Suit zenyewe Yanga wamevaa sana enzi6ya Manji wakati Mikia mkivaa vijora vyenu vya Kariakoo.
Raba ?Tuweke Rekodi sawa! Unajuwa wakati Yanga wakiwa Gongowqzi Simba ndiyo Timu ya kwanza kuvaa Suti Tanzania?
Raba ?