Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko ππ
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani πππ
utafikiri wahudumu wa kilimanjaro hotelKila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko ππ
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani πππ
Mbona umewapa cheo kikubwautafikiri wahudumu wa kilimanjaro hotel
Umenunua lini Smartphone yako.. Hata kama umechelewa kuja mjini lakini sio kwa ushamba huo. View attachment 1553041
Kwahiyo simba ndo timu ya kwanza kuvaa suti duniani? Kwamba wengine wote wameiga?
Acha wivu mkuu hii ni roho ya kishamba ambayo watanzania wengi wanayo kwamba mtu akifanya kitu basi kaiga kwahiyo wao hawatakiwi kufanya jambo lolote kisa wataiga.
Pole sana mkuu, haya mrudishie simu shemeji yako ni wazi kuwa umeazimaKila nikiiangalia hii Picha huwa najiuliza Ni Utopoloni pekee ndiyo Suti inavaliwa na Raba?
Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko ππ
View attachment 1552962
Enewey! Kumbe Utopolo barua yao ya kumkatia Rufaa Morrison kwend CAS wameiandika kwa kiswahili hatimae imerudishwa Jangwani πππ
Kuvaa suti na raba Wala sishangai maana Ni wazee wa kukopy na kupaste..nachoshanga hivi Harmonize alishindwa kubuni style ya kuingia nayo hadi 'akamkopy' bwana Domo siku ya Simba day?
Sasa mkuu hebu kua positive acha uswahili kidogo.Sio suti tu, kila kitu Yanga lazima muige kutoka kwa Simba.
Hata Siku ya Vyura, Oh samahani ni Siku ya Wananchi mumeiga kutoka kwa Simba.
kiufupi Simba ni mwalimu wa Yanga ingawa huyu mwanafunzi mwenyewe ana kichwa kigumu kujifunza.
Pole sana mkuu, haya mrudishie simu shemeji yako ni wazi kuwa umeazima
Duh [emoji28][emoji28] waonee huruma mkuu kandanda si vita Kaka!Hawa nasubiri Wamcopy Amber Ruthy tu niwaibukie manake ninauhakika wakimaliza kukopi kila kitu cha Simba basi watahamia kwa Amber Ruthy na James Delicious.