Ivi Hawa Majirani Zetu wa Jangwani Wamekosa hata Mtu wa Kuwashauri kwenye Mavazi? Kweli kumuiga Simba SC bila hela ni kushindana na Tembo Kunya Boga

Unaweza kudhani hichi ni kikundi cha wafanyakazi wa Hotelini wakijiandaa kulisha Watu waliohudhuria kwenye Mkutano au Kikao cha Kikazi.
Kama kawaida yao kwenye kuigaiga Walijaribu kutuiga Simba lakini walichoambulia ni Kituko [emoji23][emoji23]
 
Kuvaa suti na raba Wala sishangai maana Ni wazee wa kukopy na kupaste..nachoshanga hivi Harmonize alishindwa kubuni style ya kuingia nayo hadi 'akamkopy' bwana Domo siku ya Simba day?
Nimemuonea huruma sana jinsi alivyokuwa anahangaika na ile kamba ya kushukia
 

Duh, Kama wakata miwa wakisubiri Lori kwenda saiti.
 
Utadhani wapiga tarumbeta kwenye harusi
 
Angalieni Huko Mbeleni wanavaaje. Mwana michezo kupiga suit na raba ni kawaida.
Suit zenyewe Yanga wamevaa sana enzi6ya Manji wakati Mikia mkivaa vijora vyenu vya Kariakoo.
 
Angalieni Huko Mbeleni wanavaaje. Mwana michezo kupiga suit na raba ni kawaida.
Suit zenyewe Yanga wamevaa sana enzi6ya Manji wakati Mikia mkivaa vijora vyenu vya Kariakoo.

Tuweke Rekodi sawa! Unajuwa wakati Yanga wakiwa Gongowqzi Simba ndiyo Timu ya kwanza kuvaa Suti Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…