Ivi kuna hasara gani ukifanya haya

Ivi kuna hasara gani ukifanya haya

ni kweli wanaume tu dhaifu kwa haya
jana nlikuwa na bb moja wa kizungu akasema anawahi home mumewe ana zamu ya kupika awahi dinner
kwa afrika tuna umangi meza bado,jukumu la kufua kuandaa watoto na kupika ni letu sote
miaka ijayo itakuwa hivo wanawake kuweni wakali,mwanaume apangiwe zamu kupika nk.
bebiiii umenipata???????
 
hahaha, tunajua hilo, ila ili kuchelewesha lisitupate ndoo tunaleta umangi meza
 
Kwa upande wangu jambo la muhimu ni baba kujiinvolve na makuzi ya watoto wake, lazima ajue watoto wanavalishwa vipi vyakula vyao vinatengenezwaje, wanaogeshwa vipi wakiumwa daktari ni yupi ili hata siku mama anaitwa mbele ya haki watoto wakiwa wadogo ajue anaanzia wapi. akishaweza kufanya haya mengine ni nyongeza tu.
 
hayo uloyasema ni sahihi kama una nyumba yako na familia yako, mengine wengine hatuyafanyi kutokana na mazingira yanayotuzunguka,
Ishu ya kuingia jikoni uswahilini nikajipange na wakinamama wengine wakati wanapika inakua ngumu!
Asubuhi tu nimeamka na mabusu hata mswaki hatujapiga, 'too much of anything is harmful'.
Mke anaingia nyumbani naenda kumpokea, watoto wanafanya nini wakati huo au ndo tunapeana zamu!
Nnapoishi wanapeana zamu kusafisha nyumba hadi chooni, sidhani kama nirahisi kujiingiza kwenye huo mchakato.
Jambo la kukaa na wanangu nikimsifia mama yao kuhusu nini, sipati picha ya maongezi yetu.
Jambo la kukwazana hata mbele ya watoto halikwepeki kama mtaishi wote kwa kipindi kirefu cha msingi nikujifunza kuomba msamaha.

Mimi naamini upendo wa dhati unategemea na yeye anataka umfanyie na wewe unafanya nini?
Mwingine anaweza hata akakushangaa ukidisha majukumu mpaka ya watoto, ila kusaidiana inapobidi mimi naona nisawa kabisa.
Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe kujua inakuaje. Si wote najua kuna watu wanafanya kazi yao vizuri hata wake zao wanawahitaji 24 hrs. Mume akisafiri mke hana raha, akichelewa hata kama aetoa taarifa bado hata lala hadi arudi.

Fikiria majibu yako ktk maswali yafuatayo na kama hata nusu ni siyo kazi ipo. naweza kua nakosea kwa malezi niliyo ppewa lakini ukweli utajulikana.

1. Ni mara ngapi umemwamusha mkeo kwa busu asubuhi??
2. Ni mara ngapi umefua nguo yoyote ya familia iwe ya mtoto au ya mkeo, najua upo buse lakini mbona baa hukosi??
3. Ni mara ngapi mkeo akikukuta nyumbani umewahi mpokea walau beg lake tuu??
4. Ni mara ngapi umemtukana mkeo au umedharau bele ya watoto au hadi majirani wanajua??
5.Ni mara ngapi ummemsaidia mkeo hata kusogeza kisu jikoni wengine hata wajawazito wanafanya kazi wakati jamaa anacheck manunited??
6. Ni mara ngapi umekaa na wanao kuwambia habari nzuri za mkeo??
7. Ni mara ngapi umeshiriki usafi wa nyumbani??

Tusiwalaumu wanapo kosea, tuwaonye kwa upole na kuogopa. Watatuheshimu kupita upepo.

View attachment 39332
 
Umejibu too defensive, kwani ukipiga mswaki kwanza kisha ukambusu si kazi njema nayo. Imagine mkeo kwa kwambia ile kitu ya 6X6 mfanye asubuhi, naamini utapiga mswaki kwanza. Hata hivyo kwani unafanya kila siku, just a single day inaweza inafanya mambo kuwa matamu zaidi.

Inavyo onekana hujawahi mpokea mkeo hata siku moja, usiogope binadamu nao wanahitaji kujifunza toka kwako.
 
Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe kujua inakuaje. Si wote najua kuna watu wanafanya kazi yao vizuri hata wake zao wanawahitaji 24 hrs. Mume akisafiri mke hana raha, akichelewa hata kama aetoa taarifa bado hata lala hadi arudi.

Fikiria majibu yako ktk maswali yafuatayo na kama hata nusu ni siyo kazi ipo. naweza kua nakosea kwa malezi niliyo ppewa lakini ukweli utajulikana.

1. Ni mara ngapi umemwamusha mkeo kwa busu asubuhi??
2. Ni mara ngapi umefua nguo yoyote ya familia iwe ya mtoto au ya mkeo, najua upo buse lakini mbona baa hukosi??
3. Ni mara ngapi mkeo akikukuta nyumbani umewahi mpokea walau beg lake tuu??
4. Ni mara ngapi umemtukana mkeo au umedharau bele ya watoto au hadi majirani wanajua??
5.Ni mara ngapi ummemsaidia mkeo hata kusogeza kisu jikoni wengine hata wajawazito wanafanya kazi wakati jamaa anacheck manunited??
6. Ni mara ngapi umekaa na wanao kuwambia habari nzuri za mkeo??
7. Ni mara ngapi umeshiriki usafi wa nyumbani??

Tusiwalaumu wanapo kosea, tuwaonye kwa upole na kuogopa. Watatuheshimu kupita upepo.

View attachment 39332

Dah! mara sifuri
 
Itifaki zote zinazingatiwa...kosa mshiko wa kufanikisha mahitaji yake ontime... hata nyayo utalamba lkini utapewa za uso tu...
 
Back
Top Bottom