sirbyobantao
New Member
- Mar 31, 2013
- 1
- 0
Watu hawa uanza kwa sweet,dear,bb/mm fulani,juma/jamila,wewe,makelele,na majina mengineyo unayoyajua wewe na kama utabahatika kusoma jina mojawapo wakati simu inahita utashangaa, sasa nauliza sababu ni nini?