S sirbyobantao New Member Joined Mar 31, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Apr 19, 2013 #1 Watu hawa uanza kwa sweet,dear,bb/mm fulani,juma/jamila,wewe,makelele,na majina mengineyo unayoyajua wewe na kama utabahatika kusoma jina mojawapo wakati simu inahita utashangaa, sasa nauliza sababu ni nini?
Watu hawa uanza kwa sweet,dear,bb/mm fulani,juma/jamila,wewe,makelele,na majina mengineyo unayoyajua wewe na kama utabahatika kusoma jina mojawapo wakati simu inahita utashangaa, sasa nauliza sababu ni nini?
G Geofrey Andrew Sanga JF-Expert Member Joined Apr 8, 2013 Posts 251 Reaction score 55 Apr 19, 2013 #2 wanakuwa wameacha kupendana hasa baada ya kuona mambo ambayo hawakuyajua kabla.
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Apr 19, 2013 #3 Wanawake wanakuwa vuvuzela kucha kutwa
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Apr 19, 2013 #4 Nakuletea jibun la uhakika nikitoka katika ATM nakwenda kutoa hela ya kujirusha weekend. Subiriiiiiiiiiiii
Nakuletea jibun la uhakika nikitoka katika ATM nakwenda kutoa hela ya kujirusha weekend. Subiriiiiiiiiiiii