Juma namkubali sana. Endapo atasaini simba nitafurahi. Mbali na mapenzi ya dhati kwa klabu pia ana uzoefu wa kutosha na anaijua klabu vyema. Mimi huwa simwamini kabisa Ivo hasa tukicheza na Yanga. Alishawahi kuwapa yanga goli la kijinga sana dk za mwisho sina hamu nae. Aende tu.
Ivo i si,ba damu na ana makosa ya kibinadamu. naona Juma anapigwa zengwe na wanachama huku akikubalika kwa Friends of Simba walioko madarakaniJuma namkubali sana. Endapo atasaini simba nitafurahi. Mbali na mapenzi ya dhati kwa klabu pia ana uzoefu wa kutosha na anaijua klabu vyema. Mimi huwa simwamini kabisa Ivo hasa tukicheza na Yanga. Alishawahi kuwapa yanga goli la kijinga sana dk za mwisho sina hamu nae. Aende tu.
Mechi gani hiyo Ivo aliwapa goli Yanga ?
ivo inaonekana simba wameshamtema rasmi. lakini ukifuatilia maelezo yake inaonekana kuna baadhi ya viongozi na hata benchi la ufundi lilikuwa bado linamhitaji kutokana na uwezo na uzoefu wake ila baadhi ya viongozi walikuwa hawamtaki. kuna kiongozi alipewa mkataba ampe lakini hakumpa ivo ausome halafu atie saini. nafikiri kuna haja ya hawa viongozi wa simba wa sasa hivi kupunguza ujuaji kwani hata tambwe aliuzwa bure yanga kwa ujuaji wao.
lile goli baya sana si makosa ya Ivo