Ivo Mapunda na 'Delaying Tactics'

Ivo Mapunda na 'Delaying Tactics'

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Huenda bado hujagundua kilichomfanya Ivo ajicheleweshe kusaini mkataba mpya na simba

hii nadhani itakua surprise kabla ya dirisha kufungwa lakini wapo wadakuzi ambao wameng'amua tayari

Ivo amesikia tetsi za Juma Kaseja kusajiliwa simba hivyo na yeye alikua anasikilizia ili kujiridhisha kabla ya kupishana naye na ndio maana hata fuba la usajili hajaligusa bado
 
Juma namkubali sana. Endapo atasaini simba nitafurahi. Mbali na mapenzi ya dhati kwa klabu pia ana uzoefu wa kutosha na anaijua klabu vyema. Mimi huwa simwamini kabisa Ivo hasa tukicheza na Yanga. Alishawahi kuwapa yanga goli la kijinga sana dk za mwisho sina hamu nae. Aende tu.
 
Mechi gani hiyo Ivo aliwapa goli Yanga ?
 
Ivo i si,ba damu na ana makosa ya kibinadamu. naona Juma anapigwa zengwe na wanachama huku akikubalika kwa Friends of Simba walioko madarakani
 
ivo inaonekana simba wameshamtema rasmi. lakini ukifuatilia maelezo yake inaonekana kuna baadhi ya viongozi na hata benchi la ufundi lilikuwa bado linamhitaji kutokana na uwezo na uzoefu wake ila baadhi ya viongozi walikuwa hawamtaki. kuna kiongozi alipewa mkataba ampe lakini hakumpa ivo ausome halafu atie saini. nafikiri kuna haja ya hawa viongozi wa simba wa sasa hivi kupunguza ujuaji kwani hata tambwe aliuzwa bure yanga kwa ujuaji wao.
 
usamjo utaiua simba Ivo si wa kuacha kwa mbachao ya mgeni ambaye kiwango chake ni cha kawaida sana halafu hajui fitna za soka la bongo
ivo inaonekana simba wameshamtema rasmi. lakini ukifuatilia maelezo yake inaonekana kuna baadhi ya viongozi na hata benchi la ufundi lilikuwa bado linamhitaji kutokana na uwezo na uzoefu wake ila baadhi ya viongozi walikuwa hawamtaki. kuna kiongozi alipewa mkataba ampe lakini hakumpa ivo ausome halafu atie saini. nafikiri kuna haja ya hawa viongozi wa simba wa sasa hivi kupunguza ujuaji kwani hata tambwe aliuzwa bure yanga kwa ujuaji wao.
 
Juma namkubali sana. Endapo atasaini simba nitafurahi. Mbali na mapenzi ya dhati kwa klabu pia ana uzoefu wa kutosha na anaijua klabu vyema. Mimi huwa simwamini kabisa Ivo hasa tukicheza na Yanga. Alishawahi kuwapa yanga goli la kijinga sana dk za mwisho sina hamu nae. Aende tu.

vikongwe fc.....mchukueni na mwameja
 
Mechi gani hiyo Ivo aliwapa goli Yanga ?

Nyie mikia mbona kaseja kawapa simba magoli mengi sana wakicheza na yanga? hata kule tanga aliwazawadia mgambo goli la buree,,,,,mjinga sana kaseja
 
nakubaliana na wewe kabisa

Back
Top Bottom