Huyu dada nampenda sana anatangaza vizuri sana km Amina Mollel wa TBC
Usimtaje Amina Mollel ni wa kwangu huyo, nyie endeleeni na huyo kamutu kenu! Na ukiendelea kumtaja Amina namwambia invisible!
Wa kwako kwani umemuoa??si mke wa mtu yule au wewe ndio mumewe?? Lkn tumemtaja kwa umahiri wake mkuu samahani km katajwa mkeo nawe hukupenda
ha,ha,haa,haaaa. mkuu huyu siyo my wife wangu but; ananikosha, ananisuuza, ananinamaliza na kisauti chake kile, na vimacho vyake mmmh! naomba basi msimtaje eti!
Ni Kuringa na si 'kulinga'....Tusaidiane Hapo Kwanza Maswahiba.
tehe.....tehe.........yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
Nilidhani ndie your husbend wake nilishtuka mkuu maana naskia mumewe anampenda kupita kiasi na wanapendana sana na ana wivu sana mumewe nikadhani ndio wewe,duh ningejitoa jf leo mkuu.
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!