Ivona Kamutu wa Star tv

Ivona Kamutu wa Star tv

:ear:Ngoja nibane pembeni nione(kusikiliza) uchambuzi wenu juu ya huyu dada
 
Huyu dada nampenda sana anatangaza vizuri sana km Amina Mollel wa TBC
 
Usimtaje Amina Mollel ni wa kwangu huyo, nyie endeleeni na huyo kamutu kenu! Na ukiendelea kumtaja Amina namwambia invisible!

Wa kwako kwani umemuoa??si mke wa mtu yule au wewe ndio mumewe?? Lkn tumemtaja kwa umahiri wake mkuu samahani km katajwa mkeo nawe hukupenda
 
ha,ha,haa,haaaa. mkuu huyu siyo my wife wangu but; ananikosha, ananisuuza, ananinamaliza na kisauti chake kile, na vimacho vyake mmmh! naomba basi msimtaje eti!
 
Nilidhani ndie your husbend wake nilishtuka mkuu maana naskia mumewe anampenda kupita kiasi na wanapendana sana na ana wivu sana mumewe nikadhani ndio wewe,duh ningejitoa jf leo mkuu.
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!
tehe.....tehe.........
 
Nilidhani ndie your husbend wake nilishtuka mkuu maana naskia mumewe anampenda kupita kiasi na wanapendana sana na ana wivu sana mumewe nikadhani ndio wewe,duh ningejitoa jf leo mkuu.

ha,haaaaa, mkuu usiwe na wasiwasi, just kidding mate!
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!

Mkuu.....umenichekesha sana kwa kweli eti ananibariki sana......dah so funy asee
 
Jamani Ivona Kamuntu ni mtangazaji mwenye style ya namna yake, kwa kweli anavutia sana anapotangaza,
 
jaman huyo dada mi nampenda sana nataman siku nimuone live
 
yani huyo dada akiwa anatangaza taarifa ya habari lazima nigombane na watu hapa maskani.Wao wanataka ITV na mie nataka nimkodolee macho huyo Ivona hata wakininyima msosi poa tu!kwa walokole huwa hatusemi nimempenda au namtamani bali tunasema ananibariki sana!

uwiii
ana kamguu kazuri mashalaah
 
Tyta hayupo natake pose sasa hivi tu, then kesho atakuwepo ofisini. Huyu hapa kamuntu!!

Alikuwepo kwenye birthay yangu huyu.
 
Attachments

  • 1394758544436.jpg
    1394758544436.jpg
    7.1 KB · Views: 421
  • 1394758554034.jpg
    1394758554034.jpg
    11.1 KB · Views: 399
Back
Top Bottom